Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)Maranga Amos AtimaAll episodes
Baada ya Neptuni, kuna nini huko nje?
Zaidi ya Neptuni, mahali ambapo Jua huonekana kama nyota tu ya mbali, kuna eneo kubwa la giza na baridi kali — UKANDA WA KUIPER. Ni "friji" kubwa ya Mfumo wa Jua, iliyojaa mamilioni ya dunia ndogo za barafu zilizohifadhi kumbukumbu ya jinsi mfumo wetu ulivyozaliwa miaka bilioni 4.5 iliyopita. ❄️Katika kipindi hiki cha Afrika Imara tunasafiri hadi ukingoni mwa Mfumo wa Jua kuchunguza mahali palipobadilisha kabisa jinsi tunavyoelewa "sayari" ni nini.
Episode page ↗